Mwita Maranya JF-Expert Member Joined Jul 1, 2008 Posts 10,565 Reaction score 7,984 Jan 31, 2012 #21 Mwana UoA said: wana jf nani ana cv ya boss huyu alianza lini kusoma mpaka alipo sasa naomba msaada Click to expand... CV yake inapatikana hata hapa JF jaribu kutafuta thread inayozungumzia kuteuliwa kwake kuwa mkurugenzi mkuu wa TANAPA, alijadiliwa sana hapa mwaka jana. Vinginevyo unaweza kujaribu njia nyengine za kupata cv yake, pamoja na "google engine"!!
Mwana UoA said: wana jf nani ana cv ya boss huyu alianza lini kusoma mpaka alipo sasa naomba msaada Click to expand... CV yake inapatikana hata hapa JF jaribu kutafuta thread inayozungumzia kuteuliwa kwake kuwa mkurugenzi mkuu wa TANAPA, alijadiliwa sana hapa mwaka jana. Vinginevyo unaweza kujaribu njia nyengine za kupata cv yake, pamoja na "google engine"!!
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Jan 31, 2012 #22 Lakini CV especially ya mtu ambaye tayari ni public figure haitakiwi iwe siri. Labda mheshimiwa atuambie anataka ya nini? lakini vizuri kama ataenda huko TANAPA nadhani watamsaidia.
Lakini CV especially ya mtu ambaye tayari ni public figure haitakiwi iwe siri. Labda mheshimiwa atuambie anataka ya nini? lakini vizuri kama ataenda huko TANAPA nadhani watamsaidia.