Sharp lady
Senior Member
- Feb 23, 2011
- 129
- 13
Form Four (1998) Maua Seminary div 1 point 7, A (tisa)9, out of 10 subjects!
Form Four (1998) Maua Seminary div 1 point 7, A (tisa)9, out of 10 subjects!
Form Four (1998) Maua Seminary div 1 point 7, A (tisa)9, out of 10 subjects!
Yuko fit mpaka anafurahisha safi sana.form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA wakati wakiwa udsm na akina zitto na mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP) ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi za kijamii kama UNA, TYVA na pia muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka 2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye kipaji cha pekee.
hayo matokeo ya Tambaza na kuhitimu BBA hapo UD una uhakika navyo au umechakachua..?
Hi wadau!
Mimi ni mmoja wa naomuunga mkono na hata kukubaliana sana na mambo mengi ya kimaendeleo pamoja na uongozi wake mbunge wa Ubungo mh. Mnyika ila sijafanikiwa kupata cv yake nakuweza kumfaham vizuri hasa kwa upande wake wakielimu yoyote mwenye kujua kindly help.
Duuuuuuuuuuuuh...sasa nani mkweli hapa?? (Tunaomba detail zaidi)Mimi ni shabiki wake pia lkn sipendi ukweli unapopindishwa kwenye jambo lolote si siasa peke yake,BBA alijiunga ambapo ilikua ni kozi ya jioni akiwa na umri 24 huku akiendelea na siasa lakini hakumaliza mpaka sasa,maua sem ni kweli div 1.7,Tambaza 3 ya mwanzo,alikua open university sina uhakika kama tayari au..sisemi kwa ubaya.
Nyie wasomi, tatizo lenu ni hilo. CV ya nini, kama mtu anafanya kazi inayoridhisha inatosha. Ukienda mitaani walalahoi wanalalamika kuwa wasomi ndio walioifikisha nchi hii kwenye umaskini. Ndio wezi wakubwa. mafisadi wa CCM wote ni wasomi. Hivyo usomi katika kuongoza nchi siyo ishu kubwa, ni uadilifu wa mtu. Tukija kwenye theatre ya kupasua moyo, hapo tuongee CV, sio kwenye mambo ya hekima kama uongozi (ingawa kusoma kunaweza kuwa added advantage!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!) Najua mtanishambulia, kazi kwenu.