CV ya John Mnyika

Form Four (1998) Maua Seminary div 1 point 7, A (tisa)9, out of 10 subjects!

Hata hoja zake tu ndani ya bunge utajua tu kwamba hayuko pale kwa kubahatisha.

Respect Mnyika!
 

Much respect JJM!
Mkuu if you can please, tinaomba tipatie ya Mh. Godbless Lema!
 
Wakuu heshima.

Kati ya wabunge vichwa John Mnyika yumo.Kijana mdogo hana papara anajua anachokifanya hakika akiendelea na mwendo huu atafika mbali sana.Natamani sana John Mnyika kama angekuwa mbunge wangu kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa sawa.

nimekugongea like,,,
hakika leo umenena hujawa bias kama faiza foxy!
 
Much respect JJM!
Mkuu if you can please, tinaomba tipatie ya Mh. Godbless Lema!

Mkuu Nyantella unatafuta uchokozi ndugu yangu huko usiende kabisa hawakawi kukubandika kila aina ya jina baya mwenzio nimezoea ngozi yangu ngumu.
 
Heshima kwako Ema.

Mkuu wangu bahati mbaya umeshindwa kunielewa kabisa.Mimi siko chama chochote cha siasa,ni mtu huru ukijaribu kupitia mabandiko yangu utagundua mara zote natazama uwezo wa mtu binafsi na si chama ndiyo maana michango yangu haijali wewe ni CCM,CDM,TLP,NCCR au CUF ukikosea nakutwanga ukifanya vizuri nakusifia pengine hii ndiyo tofauti kubwa baina yangu na manazi wa CDM.

nimekugongea like,,,
hakika leo umenena hujawa bias kama faiza foxy!
 
hapo kwenye greeen hapo si umeshajipatia jibu kuwa kusoma ni aded advantage unataka tukushambulie kwa lip wakati umeshajipatia jibu.
 
Du Mheshimiwa yuko fit namfagilia mnoooooooooooooooooo big-up
 
Mkuu angalia hapo chini:-



LAKINI


Tusitumie ku-drop out kwa hawa watu kujiliwaza au kuona kwamba akili na busara sio ingredients za mafanikio...... "Huwezi ku-run kampuni kama Microsoft bila kuwa na something upstairs...

Waheshimiwa msisahau mbali na Elimu ya Mtu uongozi ni kipawa tofauti...kiu kweli elimu inahitajika lakini haimaanishi kuwa na Elimu ya juu sana na uwezo mkubwa sana kwenye makaratasi basi wewe ndio utakuwa kiongozi mzuri... Angalia waziri mkuu wa uingereza baada ya Margaret Thatcher (Iron Lady), Mr John Major huyu hata O level kakwe ilikuwa issue hakumaliza, form two tosha kwake, na alidrop out.....lakini aliiongoza Uk 1992-1997 na kushika nyazifa kubwa kubwa kwenye serekali ya Conservative kabla ya kuwa PM.....
 
Jamaa ame2lia, ila bajet za nchi za malaw na zambia ndo mkali zaidi, ebu ashughulikie wale wafanyakaz wa urafiki na barabara za uku mbez
 
Mh ss mbona CV hizi zinakingana, anyway ila ana uwezo mkubwa wa uongozi naoana ss hv kama chadema kina sera ya kuwabana hawa wabunge vijana wasifurukute
 
Kiwango cha Elimu ni muhimu sana, hata hiyvousisahau kwamba, Mwai kibaki aliyesababisha vifo vya wakenya around 1000 ana first class ya makerere Vs JK Nyerere lower class.( Nani wa kuigwa kati yao? )

Kuhusu Mnyika, ninajua jambo moja kubwa baada ya kufanya naye kazi kwa karibu sana tangu mwaka 2007 hadi 2011 kuwa, ana busara na Hekima nyingi sana ambayo ni sifa muhimu sana ya kiongozi. Sisi huwa tunasema ukingombana naye mara nyingi sana ujue wewe una matatizo.
Pili, ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kushawishi watu almost like obama.
Mwisho nina matumaini kwamba akipewa nafasi kubwa ktk uongozi wa Chama kitaifa miaka ijayo ataipeleka sana Mbele Chadema kuanzia hapo kilipofikishwa na viongozi wachapakazi waliopo ktk usukani.
 
Kumbe na huku watu mnaongelea Mnyika alipata divisheni ngapi form four na form six. Naona mnazuzuka kweli na hizo divisheni.
 
Tupeni nani mbunge wa ccm ana one ya saba kama mnyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…