Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA wakati wakiwa udsm na akina zitto na mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP) ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi za kijamii kama UNA, TYVA na pia muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka 2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye kipaji cha pekee.
Haya subiri tuone. Maana uliyoyatabilia yametimia sasa.Kiwango cha Elimu ni muhimu sana, hata hiyvousisahau kwamba, Mwai kibaki aliyesababisha vifo vya wakenya around 1000 ana first class ya makerere Vs JK Nyerere lower class.( Nani wa kuigwa kati yao? )
Kuhusu Mnyika, ninajua jambo moja kubwa baada ya kufanya naye kazi kwa karibu sana tangu mwaka 2007 hadi 2011 kuwa, ana busara na Hekima nyingi sana ambayo ni sifa muhimu sana ya kiongozi. Sisi huwa tunasema ukingombana naye mara nyingi sana ujue wewe una matatizo.
Pili, ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kushawishi watu almost like obama.
Mwisho nina matumaini kwamba akipewa nafasi kubwa ktk uongozi wa Chama kitaifa miaka ijayo ataipeleka sana Mbele Chadema kuanzia hapo kilipofikishwa na viongozi wachapakazi waliopo ktk usukani.
Mkuu,nakuomba unywe maji mengi halafu ukiona gari hapo karibu na kwako panda tu mwenyewe.Hapo home waambie unaenda kuwasalimu wahenga "Mabwepande"!Huna Imani na "ilmu" ya "senior citizen numero uno"?ππππππElimu ya darasani na Elimu ya kitaa ni vitu viwili tofaiti kabisa... Nitaanza na Elimu za watu watatu hivi...
Elimu ya Pro Macho kodo au Prof wa jalalani,imeleta impact gani katika jamii yetu?? Zaidi yakuonyesha kumbe elimu kubwa si kitu,si chochote... Zaidi Prof Macho kodo anajidhalilisha tu mbele za watanzania tuliomwamwini,kua kwa elimu yake atakuja kua mkombozi wa baadhi ya shida za watanzania hasa kwenye mambo yakisheria...
Elimu ya Prof Pumba kila mtu anajua alichofanya tangu uchaguzi wa 2015,yeye na genge lake,ndiyo wamekiuwa chama cha CUF... Huyu anayofanya na ambayo alishafanya hapaswi kabisa kuitwa Prof....
Elimu ya ndg yetu,Raia number moja,nasikia ana Phd,lakini sielewi alipataje hiyo Phd,maana kwenye kuandika thesis yake,alitumia lugha ya malkia,lakini mwambie hivi sasa aongee fluently hata dakika 3,ni shida.... Mambo anayofanya ni tofauti kabisa na elimu yake...
Sent using Jamii Forums mobile app
πππhahahaaaa huo ni mwanzo tuuu!