CV ya kocha wa Kilimanjaro Stars, Ammy Conrad Ninje

Nasikia alikua kwenye benchi la ufundi la hull city ya England sijui kama ni kweli!!
Ni kweli ukiingia linkedin ndio utaview profile yake vizuri na baadhi ya qualification zake
 
Wachezaji wametuangusha
.hakuna fighting spirit...kocha afanye mini?
 
Hivi suala la uzalendo halifiki kwa timu ya taifa? Benchi la ufundi na wachezaji walitakiwa wapelekwe jeshini wakafundishwe angalau mwezi mmoja
 
Huyu jamaa alikua anacheza ligi daraja la pili England miaka ya nyuma aliwahi kuitwa team ya Taifa tukawa tunashangaa jinsi alivyo n.a. kipaji cha kawaida lakini anacheza pro!nadhani aliunga na Ukocha
 
Moja wapo ya kazi ya Kocha ni kuwaunganisha wachezaji kucheza kitimu na kutengeneza mfumo sahihi kwa aina ya wachezaji ulionao kikosini ili timu ipate matokeo huyo jamaa kashindwa hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…