Tutafanyaje kama kila Tom, Dick na Harry atakuwa na uwezo wa kuchagua kocha, kama kila Tom, Dick na Harry atakuwa na uwezo wa kumchagulia kocha wachezaji, kama kila Tom, Dick na Harry atakuwa mchambuzi wa mpira, na kama kila Tom, Dick na Harry atakuwa na uwezo wa kuchaguliwa Timu ya Taifa?
Mi nadhani tim ya taifa apewe Edo kumwembe na Dr Leaky abdalah hawa jamaa wanajua sana mpira hasa kumwembe ambae anachambua mpira huko Sauzi Africa na ni rafiki ya Wanyama(mzee wa kamtaa)