CV ya KOVA!!

Ashakum si matusi, Kama Kova angekuwa ni mwalimu tungemwita mwalimu wa upe.
 

GANGSTAR upo kwenye kundi la watekaji wa Kenya waliotajwa na Kova nini?
 
Kova hana makosa ila yeye anatumika kama rubber stamp tu.Ulisha ona wapi mtu akabishana na Tv set yake !! anawekewa maneno mdomoni ya kusema, simply kuna mtu ana remote control inayomuongoza kamanda wenu kufanya maamuzi.Waweza kuta ana Elimu nzuri tu ya kawaida kulingana na wakati wake ,lakini Je anafanya maamuzi kulingana na elimu yake au anaisaliti hiyo proffessional yake?Mbona akina KOVA tunao wengi hapa nchini sishangai hili
 
Hata kama ana elimu itakuwa ni elimu cheti na siyo elimu maarifa

Toba !!!! usinitake niseme! kuwa alipita kwa daraja la juu sana pale CCP Kwenye ile paredi ya pass-out????
 
GANGSTAR upo kwenye kundi la watekaji wa Kenya waliotajwa na Kova nini?

Mzee mbona unauliza sindano wakati upo Hospitali? Angalia tarehe ya huyo Gangstar kujiunga hapa JF.

Tiba
 
kenya haitakubali raia wake azushiwe na kulichafua taifa la kenya...bunge lao lipo makini lipo tayari kumuondoa ata waziri mkuu wao kwa ishu km hii....yani tanzania haina pakutokea kwanza marumbano yameanza wenyewe kwa wenyewe mcungaji anasema hiki police anasema kile...tutegemee nini zaidi?
 
Kama unasema ni system,mbona kama akina magufuli wanamisimamo?
 
Napita, ntarudi CV ikibandikwa hapa ya huyu kilaza anayefanya kazi na vyombo vya habari badala ya kwenda field mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…