Asalaam wana JF.
Naomba mwenye CV ya mbunge wa RORYA Mhe,Lameck Okambo Airo anisaidie kuiweka hapa tafadhali.Nimelazimika kuomba cv ya mheshimiwa huyu kutokana sababu kuwa hajawahi kuchangia bungeni tangu kuchaguliwa kwake mwaka 2010.CV yake itanisaidia kujua ni kwa nn mbunge huyu anashindwa kuchangia hoja bungeni na hivyo kushindwa kuwasilisha bungeni kero za wananchi wake.