CV ya mkubwa Fella

CV ya mkubwa Fella

meku7

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
375
Reaction score
266
Wadau,

Naomba mwenye kujua CV ya mkubwa Fella wa Yamoto Band atusaidie.

Huyu jamaaa amewezaje kufika hapa alipo na kabla alikuwa wapi?
 
hivi leo mau utd anacheza na nani?
Umeuliza swali la maaana na mimi nasubiria jibu ikiwezekana watupe ratiba kamili ya leo ya EPL, japo ninamajonzi na chama langu la Chelsea.
 
Ukitaka kumjua Fella Google OSATA ndio utamjua vizuri.
 
Wadau,

Naomba mwenye kujua CV ya mkubwa Fella wa Yamoto Band atusaidie.

Huyu jamaaa amewezaje kufika hapa alipo na kabla alikuwa wapi?
Wewe Cv yako imekusaudia hapo ulipo au unaweza jilinganisha na fella

ovaaa
 
Jamaa yupo vizuri,Ana degree ya fitna,kutoka ujanjaujanja university..
Ndy ilimsaidia hadi kujijenga kikamaisha
kuna watu wangapi wana degree na masters na wana kazi nzuri lkn hawako focus na maishaa.....maisha hayana formula a mtu yoyote anaweza akawa smbdy
 
Ameweza kumManage Juma Nature MH Temba Chege Chigunda" TMK Family na kuwapa mafanikio. Pia anawasimamia na kama mwanzilishi wa Yamoto Band ambayo inafanya vzr katika anga la Muziki Tanzania. Mjasiriamali mzuri hyo ndio CV yake.
Pambanisha na yako ambayo una kadegree kako kamoja ambako cdhani ad sahv kama kamekupa mafanikio yoyote
 
Jamani mpeni CV ya Fela labda anataka kumpa kazi
 
Watu wana Vyeti viingi. ..ujinga ujinga.

Waliotupa hasara kubwa wengi wabobezi....wa kisomo
 
Back
Top Bottom