CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

Kamaliza Lutengano form six, labda unayemuongelea ni mwingine.

Hii jf sasa imekaa kishambamba sana hautakiwi what i know hautakiwi umuongelee mtu usimyemjua unless uwe upo kibwege zaidi prof jay ana form 6 ambayo ni zaidi ya degree zao za vyuo ambavyo havina hata maji chooni
 

U got to leave prof j alone, jay ni kwetu town ni kama leactuer(sijui huko bush kwenu)umeweka uongo kuh elimu yake but ukweli jamaa ana form 6 tu ambayo ni zaidi ya degree ya vyuo visivyo hata na maji chooni
 
Kamaliza Lutengano form six, labda unayemuongelea ni mwingine.

Tena alipiga kazi tigo wakati huo ni buzz
Huyu mleta uzi huu atakuwa anandika uzi huu huku akiliwa kiboga
 

Nakubaliana na wewe kwa 100%. Mfano ni hawa mainjinia wetu waliosomeshwa kwa kodi zetu wameshindwa hata kuelekeza maji ya mvua baharini iliyo kilomita 1 au mbili.
 

kwamba Prof J ameishia darasa la nne?mwandishi umevurugwa kwa kuwa ulichokiandika nina uhakika hukudhamiria iwe hivyo.
 

Unafahamu tofauti ya CV na bibliography wewe?
 

Maji marefu (CCM) Korogwe na Aeshy el Hillary (CCM) sumbawanga wana elimu gani. Aeshy hata darasa la saba hakufika lakini ccm wakamwona anafaa kuwa mbunge
 
Wanangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.aliyekwambia pr.jay ataka kuwa katibu wa bunge nani?what we need is community representative
 
Hahahahahaha Pro Chadema mmepanic ... Hahaha
 
garasa.? angeweza kuchukua tunzo zote hizo? angeweza kuwashawishi wazee waukubali mziki wake? angeweza kutunga nyimbo nyingi za kuelimisha jamii? kwa elimu yake hiyo uliyoita ya STD IV amefanya hayo machache uliyiyaona wewe. SASA WEKA CV YAKO HAPA NA WEWE na tueleze kwa PHD yako uliyonayo umeshapewa tunzo ngapi?
 
Naona umeshamaliza kazi uliyotumwa na pesa utakuwa umeshamaliza pia.
 
wewe mbwiga hivi profesa maji marefu na mwenzie jah people wanajua kuwa hapa duniani kuna kitu kinaitwa computer?
 
Ahahahaha mkuu unaua bendi... Ila Prof namkubali sana kwenye nyimbo zake japo huku alikoingia natofautiana nae sana tu
 

Hapo kwenye elimu nakushauri karudie tena tafiti zako na umuombe radhi Prof. J
 
Mbona naskia akiimba KWA kiingereza wakati mwingine, tena na ascent ya mzungu, alikijulia wapi kama na school dropout?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…