CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)


Akiba ya Maneno ni Nzuri sana
 
Mimi ni CCM ila professor J ninamkubali ktk upande wa kusikiliza wananchi. Ni mtu ambaye anaweza kuwa karibu na wananchi zaidi ya yule Jonas Nkya. Jonas ni mjivuni, ni mtu wa kujiona ingawa zamani hakuwa na hiyo tabia. Tabia yake mbaya ilianza kipindi fulani alipoanza kupata visenti. Pia Jonas ni mtu wa wahuni yaani ni kama mafia fulani hivi. Pia inasemekana alijihusisha pia na ujambazi mfano alishawahi kuteka mzigo wa shaba toka zambia kuelekea dar, yaani kwa ufupi hata ki familia mzee Nkya walimfrustrate. Kwangu mimi nasema Hongera wana mikumi.
 
Kwakweli hata jina la profesa halimfai tena Kumbe ameishia darasa la nne khaaaaaaA

Sio kweli,prof wakati nipo form one lutengano high school huko tukuyu,jamaa ndio alikuwa anaua form six,1997..nahisi kamaliza na edo kumwembe,acheni uongo na uzushi nyie lumumba..
 
Hivi ndivyo CV inavyoandikwa? ! Kweli kipaumbele ni elimu
 
Kapata ubunge mkuu unamaoni gani tena?
 
Mkuu acha dharau hivi hujui hata ktk kazi yake ya sanaa alikuwa akitumia Computer??,Wewe lengo lako kumbe halikuwa kuelezea Historia ya Prof.J bali kumpaka matope sasa wewe itakusaidia nini??,hivi wewe unataka kuniambia kuwa unawazidi akili maelfu ya wananchi wa Kilosa waliomchagua??.nenda kajipange.
 
kajiunge ktk siasa,mbona kuna wabunge wana elimu km ya prof jay!elimu kitu gani bwana ktk siasa,ile mistari yake tu prof jay ni degree tosha!
SHIKAMOOO mkuu!!!,eti ELIMU wasomi wengi ndo wanaongoza kw kuvuruga mambo hakuna kitu kabisa bora std VII, mwenye muono kuliko PHD mburura.
 

hivi dhana ya elimu ni nini hasa?mwenzio anaelimu ya maisha katengeneza mkwanja wa kutosha sana kwa kula,haya tupe yako tuone unamfunika wapi jamaa!
 
Wew umetumwa ila kumbuka kuwa kuna wabunge wa ccm wamesoma sana na wameshindwa kuwatumikia wananchi ukienda majimbo yao utawaonea wananchi huruma
 
Atakuwa alikugongea Dada'ako ,Kusoma kamaliza form six na kumbuka ameshawahi kufanya kazi tigo dar na tanga!
 
mleta uzi una wivu sana halafu usipende kubagua watu kwa elimu zao wananchi wanataka maendeleo hao wanye degree u doctor na PHD jiulize wameifanyia nn tanzania zaidi ya kujitafutia kwa ajili ya familia zao inawezekana nawewe umesoma labda ila sina uhakika hata kama umemaliza darasa la saba kwa uzi wachuki namna hii labda wewe kwa elimu yako umesaidia nn jamii yako na kwann usiende kwenu ukagombee ubunge kama ni kazi rahis unaroho ndogo na husda.
 
Tunaangalia Jimbo Tanga ili tumlete na Roma mjengoni 2020....
wakubana pua waendelee kubana pua kwa ajiri ya wengine
 
Mm Siamini Kama Prof J Ameishia Darasa La Nne .... Na Kama Ni Kweli Ameishia La Nne Bas Alijiendeleza Kwny Lugha.... Maana Binafsi Nna Nyimbo za Professor J Xa Huko Miaka Ya 94 Na Anarap Kwa Kingereza Japo si Fasaha sana.... Labda mwandishi alitaka Kumaanisha Form Four na Sio Std IV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…