CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

Umemwona eeeh.
Wivu ulopindukia, awe std one au four, ni mbunge mheshimiwa, amefikia malengo yake na ameandika historia na kuvunja record ikiwa ni kweli. Mleta maada wewe ni nani jitokeze na cv yako ma umewafanyia nn watz? Tofauti na prof jay? Mnafiki tu wewe
 
Acha kuelmaza akili yako.Hizo hoja ukipeleka ccm watakuona umeongea sana. Mwanangu wa vidudu, anafanya mengi sana ktk computer .Wewe matumizi ya computer unayoyaona kuwa wewe na wasomi wengine wanastahili kuringia ni yapi?Ninavyofahamu hata waliosoma degree kadhaa ktk computer bado hawajamaliza matumizi ya computer.
 
ok tumekusikia .
 
Kwani maprofesa tulio nao serikalin wamefanya nini cha kushtua? Mtashangaa maendeleo atakayoyafanya jimbon kwake.
 
Wamemponda sana, mmeweka cv za uongo na kweli, ila ukweli utabaki kuwa ukweli na uongo hujitenga maisha yote. Joseph Haule yulee tayari mbunge wa Mikumi.
 
Tunataka mtu atakae leta maendeleo jimbon kwake,,Benad membe mbona anaelimu Na nyazfa alifanya nini Lind?
 

Mbunge wa Rorya Lameck Airo kasoma mpaka darasa la ngapi?.Kapita tena mhula wa pili na husemi kwasababu yupo CCM.Acha wivu wakike.
 
Kasoma mbeya shule ya sekondari Lutengano,mpaka akapata mashairi ya maisha ya boarding noma,we uliyetoa cv naona unashida zako binafsi.
 
Mbunge wa sumbawanga Aeish elimu yake mbona ni shida tupu ila hamsemi hapa.na ni ccm hao hao wanao lilia kipengere cha kujua kusoma na kuandika kwa bosi ila dreva wake awe kafika kidato cha nne.akili ndogo zinawaza hvyo hvyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…