KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza tukama hadi leo hujamjua mpiganaji na mwanamageuzi wa kweli kubenea kupitia vitendo vyake basi maelezo yake hayatakusaidia kitu..
Wakuu nani anayo au anaijua cv ya mwanahabari nguli hapa Tanzania Bwana Saed Kubenea???
Naomba kama kuna mwenzetu mmoja humu ndani anayo ama anaweza kuipataatuwekee ili tumfahamu shujaa wetu huyu ni wa namna gani.
Nawasilisha.
Acha uzushi wewe. Saed Kubenea shujaa wa KIM KARDASH wapi na wapi.
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza tu
KIM K. Weka na ya kwako basi.
Ernesto che guevara alikuwa profesa nini kk..? Au kamanda lema ni prof nini..?chukua mifano hiyo..ingawa kwa sasa kubenea yupo chuo netherlands..
Unahitaji CV ya mtu ambaye kwa miaka karibu 10 sasa hana kitu cha kuandika zaidi ya kuandika habari za kumchafua mtu mmoja tu,Lowassa?
Tatizo letu tumewekeza sana kwenye makaratasi badala ya performance....ndio maana tutazidi kupigwa bao kwenye soko la ajira za kimataifa.....CV yake ni kazi anayofanya na kama unamkubali ni shujaa hiyo ndiyo CV yake kwani wapo wanaoweza kuwa na elimu kubwa kuliko yeye lakini wakashindwa kufanya ayafanyayo....
Kim K, nimeomba ya kwko kwani ni wa kwanza kukuomba yako mbona nikuwa hivyo...Nongwa ya nini jamani si muweke tu hiyo kitu,mnataka kuficha kitu gani kumhusu ustadh Saed au mimi ndio mtu wa kwanza humu ndani kuhoji cv ya mtu?
Said Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.[/QUOTE]
Riz Mbona hajaenda Ede Islamic University? kumbe unajua kuwa DR. 2015 anachukua Nchi eh, sasa mbona huwa unajifanya dhaifu?
Kwanini mnafanya jitihada za makusudi namna hii kujaribu kuficha cv yake?kuna kitu gani hamtaki kijulikane?mbona ya ephraim kibonde tuliililia mpaka mwiso wake zikapatikana results zake za mtihani wa form four,why not kubenea,yeye ana nini mpaka aachwe?
eeeeh!
Haya ni mawazo yangu kama mtu huru nisiyefungamana na chochote kuwa CV to me it is not a big dill bali ni performance....wakati mwingine tumeona A na First Class za ajabu kwenye ulimwengu wa ajira lakini lilipokuja swala la performance watu wakaumbuka....so to me hata kama anayo CV ya kawaida au nzuri kiasi gani it will remain to be immaterial kwakuwa nilishamkubali kwa kazi zake...thats all....