simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Guys,
Kuna jamaa yangu mmoja ana certificate ya Machenical tu lakini juzi amekwenda interview kwa Kazi ya Manager mahala flani na Wahatimu wenye Masters Degree na amewapiga chini na Jamaa kala kazi ! Cheti sio tija ni skills & experience tu
cv ya kubenea jamani,ndio mpango mzima hapa,achaneni na hayo makando kando inatakiwa cv ya kubeneawhat a heartbreak breaking newzer.
cv ya kubenea jamani,ndio mpango mzima hapa,achaneni na hayo makando kando inatakiwa cv ya kubenea
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza tu
Tatizo letu tumewekeza sana kwenye makaratasi badala ya performance....ndio maana tutazidi kupigwa bao kwenye soko la ajira za kimataifa.....CV yake ni kazi anayofanya na kama unamkubali ni shujaa hiyo ndiyo CV yake kwani wapo wanaoweza kuwa na elimu kubwa kuliko yeye lakini wakashindwa kufanya ayafanyayo....
In short, S. KUBENEA hana CV, kwa kuwa hata akiandika itakuwa mstari mmoja tu! Alimaliza shule ya msingi kule Mafia, kisha akaja Dar na Bagamoyo kufanya utapeli! Kwa kuwa ana ujanja wa mjini, waandishi wakawa wanamtumia kutafuta story! Kisha akabadili dini na kujiunga CHADEMA, sasa anasomea Uinjilisti kule UHOLANZI!