Cv ya striker hatari wa Simba hapa chini

Striker hatari! Usajili wake tu kutangazwa ardhi ilitetemeka😀 Striker linafunga hata akiwa benchi 😀
 
Amesema kuna striker anakuja ni mrefu kuliko goli, nadhani wameamua kabsa kumsajili Goliati. Hivi vitengo vya habari vibadilishwe tu majina viwe ni Team Comedy Department kwasababu sioni hata umuhimu wa wanachofanya in relation to club management duties & responsibilities zaidi ya kuongea upuuzi tu na kuna mashabiki na wanachama wanashangilia
 
Nilivyoona ile miguu tu, nikajua hapa hakuna mchezaji.
 
Simba wawe wanachunguza vizuri wachezaji kabla ya kuwasajili. Kuna siku walijichanganya kwa ngongoti mmoja nadhani kutoka Senegal aitwae Pape Ndaw. Huyu huenda alikuwa mganga wa kienyeji, uwanjani alikuwa hawezi kukimbia kumbe kiunoni kavaa hirizi iliyo na uzito sawa na mfuko wa Cement. Alifungiwa na TFF baadae Simba wakaachana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…