Ok, mimi siwajui kwa majina lakini yupo ambaye alisoma hapo hapo kisha akafanya mitahani fulani hivi inatolewa na chuo kimoja ulaya online kwa level fualni hivi ndio akabaki pale pale, mwingine alisoma hapo na ndio mwaka jana august kama sikosei ndio na yeye alikuwa afanye mitahni hiyo ila sikupata tena taarifa zao maana waliingia kwenye Campaign za baba yao, hata hivyo, hawa-qualify kufundisha pale chuoni, nina uhakika na ninachokiongea; nimesha evaluate teaching yao na mitihani ya vijana hawa wanayowapa wanavyuo pale, ni chini ya kiwango ( kumbuka mimi ni mwalimu by proffession na curriculum developer)
Hawastahili, hawana teaching skills, limited knowledge on subject matter and zero interraction na wanafunzi wao zaidi ya NGONO tena rushwa ya ngono (hili nalo naliongea kwa nguvu maana nina uhakika wa ninachosema) ingawa si mmoja wa wale walichangia hadi wakagoma mwaka juzi juzi hapa wakidai kuwa walimu wanawataka kingono ili wafaulu. Ninazo evidence. tena nashindwa kuendelea maana nitakufuru......