huo ni mtazamo wako jibuni hoja iliyopo kwa mfano baba yako anamiliki shule na wewe kama mtoto uende kufundisha na wakati huna sifa watu wakiomba cv yako ni majungu? au ndo nafasi nzuri kwako ya kudhihilisha uwezo wako kwa unachokifanya
kama mnazo cv zao ziwekeni wazi msiwatetee
Kwa nini usiende hapo chuoni na kuomba hizo CV? Unadhani sisi tutazipata wapi?
wadau mwenye cv ya watoto wa massaburi,deograius massaburi na john massaburi aimwage hapa maana hawa watoto eti wanafundisha kwenye chuo chake kiitwacho instistute of procurement and supply-chanika ngazi ya certificate na diploma .
sasa kama wanafundisha unataka nini?yaani ni sawa na kutaka CV ya mtu wakati anauza duka la babake
<br />Hao watoto nilisoma nao green acres kuanzia 2004 mpaka 2006 walipohama na kwenda kwenye shule na baba yao matokeo yao ya form 4 hayaridhish walimaliza 2007.sasa pga hesabu mtu amalze mwaka huo mwaka huu aje kuwa lecture hii nchi deo alipata div 3'kama sikosei mwenzake john alipata 4.