Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
khaaaaa. . ?!!
unatisha.. think uko buryang'uru kwa sasa.!!! kwema uko.??
Kweli umepatwa!! Toka yale mashairi matamu mpaka hapa.... JK mwachie akili yake Magu jamani.....lol
je mkuu nikikudondoshea Crap itakutosha..
I real like it,i hate this selikali!
hizi ni bange tu. Pole sana Magulumagu
Likwanda mkao wa Avatar yako tafadhali tusijelaumiana badae.......Kaazi kweli kweli.
tehe tehe tehe.
U made my day.
jana nimebembea ka nini usiombe, halafu leo naenda kuangalia Basketball...I love vacation....wewe unaumia tu na jua la bongo? Pole sana...
Hahahaha! Hunishindi mimi! Next week naenda kuwaona boys 2 men. Afu si unajua hv majuzi tu nltoka kuhudhuria b'day ya mzee wetu Mandela? Ulienda wewe?
magu bana hutaniwi duh! Haya bana endelea kupuliza msubabange iko juu maana ni miti asili...je wanaolewa madaraka Je? wao sasa tuwaite wana nini vile? ndizi, karanga,vitumbua, maandazi au? wewe huipendi bangi? Bora mlevi/au addicted to Bangi than addicted to our CRAP a.k.a R.I.P source juu hapo..