leo cwt wamepewa certificate ya kushindwa kuelewana na serikari na kwa hatua hiyo walim wameanza kupiga kura zao leo za kuunga mkono mgomo kura hizo zitapigwa kwa siku 2 yaani leo na kesho then cwt watatangaza what next, stay calm mr.
Leo kituoni kwetu muwakilishi wa cwt mkoani kaja na akasema tupige kura ya maoni ya kukataa au kukubali mgomo.jana tuliambiwa kwamba cwt walishindwana na serikali tar 20jully 2012; wakashindwana, hivyo leo tar 25 jully baraza la usuluhishi wangeipa CWT certificate ya "agreement failure" ili cwt wajuwe nilini wataanza mgomo. Sasa nataka kujua kwa anayefahamu kama kuna kipya cwt wamekitoa! NAWKILISHA
tanzania kwa njia ya MIGOMO inawezekana!!! songeni mbele wakuu......mbona mikoani hawajatoa fomu wangepeleka ili wale wenye uchungu wasaini maana kodi ya mshahara tu inashawishi watu wagome