Cwt hakina website?

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Ndugu wanajamvi,
Nimejaribu kusearch kwenye internet kuona kama naweza kupata taarifa mbalimali hasa katiba yao kwenye internet sijafanikiwa.
Kwa mwenye kufahamu anijuze,kwasababu kwa karne hii CWT wangepaswa kuwa mtandaoni na waweze kujibu na kusaidia walimu kwa njia rahisi zaidi kuliko kutafuta ofisi zao mikoani na wilayani ambapo maranyingi huwezi kuwakuta,zaidi ya ni makatibu muhtasi tu.
 
Ng. wana jamvi.
Nimefanikiwa kuiona web.wametumia ttu.or.tz
Samahani kwa usumbusu uliojitokeza.
Mod.ifuteni hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…