CWT, hakuna tena haja ya T-shirt; Mei Mosi imepita

CWT, hakuna tena haja ya T-shirt; Mei Mosi imepita

mwelemimmongo

Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
95
Reaction score
75
CWT walishindwa kutoa T-shirt kwa wanachama wake kwa wakati hivyo hakuna haja ya kuwaletea tena wanachama wake tukio limeshapita hilo.

IMG-20210428-WA0037.jpg
 
CWT walishindwa kutoa T-shirt kwa wanachama wake kwa wakati hivyo hakuna haja ya kuwaletea tena wanachama wake tukio limeshapita hiloView attachment 1771943
Aliyefanya hivyo ana akili sana. Huwezi kukatwa kibabe asilimia 2 kila mwezi kwenye mshahara kiduchu, halafu unapewa hiyo takataka ya TLP!

CWT is the worst Trade Union in Tanzania! Bora hata uwe mwanachama wa chama cha Hashim Rungwe Spunda! Ila siyo CWT!!
 
Eti walishindwa kutoa t-shirts kwa wakati😁😁😁😆😆😆😆😆
Kwani hiyo sherehe ilikuwa ya ghalfa?
 
Back
Top Bottom