CWT, hakuna tena haja ya T-shirt; Mei Mosi imepita

CWT walishindwa kutoa T-shirt kwa wanachama wake kwa wakati hivyo hakuna haja ya kuwaletea tena wanachama wake tukio limeshapita hiloView attachment 1771943
Aliyefanya hivyo ana akili sana. Huwezi kukatwa kibabe asilimia 2 kila mwezi kwenye mshahara kiduchu, halafu unapewa hiyo takataka ya TLP!

CWT is the worst Trade Union in Tanzania! Bora hata uwe mwanachama wa chama cha Hashim Rungwe Spunda! Ila siyo CWT!!
 
Eti walishindwa kutoa t-shirts kwa wakatiπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kwani hiyo sherehe ilikuwa ya ghalfa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…