CWT mnaudhi sana

matc

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
260
Reaction score
45
NDG MWAKILISHI WAAMBIE WALIMU WALIOPANDA MADARAJA SHULENI PAKO KESHO TAREHE 17.09.2014 WAENDE KUCHUKUA BARUA KWA AFISAUTUMISHI WA HALMASHAURI (MBEYA VIJIJINI) KATIBU CWT (W)MBEYA(V)


hiyo msg imesambazwa na cwt MBY VJJN...kwa walimu na kuwafanya walimu km mimi kwenda ofisini kujua hali halisi na ajabu ikawa kwamba Afisa Utumishi amebandika tangazo kwamba msg hyo ilosambazwa ni feki...
najiuliza km tulistahili kupanda madaraja toka mwaka jana lkn hakuna nguvu ambayo wamefanya km catalyst ktk hili afu leo waje na hiz msg feki ili iweje?...
wanataka siku moja tukafunge milango ya hizo ofisi kwa makuful ndo wajue hatupendi wanachotufanyia?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…