BONDE LA KUKATA M
Member
- Mar 31, 2020
- 67
- 59
Wanakata shingapi kwani.Baada ya serikali yetu pendwa kushusha kodi kwa watumishi wake wakiwemo waalimu na kuanza kufaidi ni mda sasa chama cha waalimu kutekeleza majukumu yake kwa wanachama kushusha makato mpaka 1%.
Tunawapa miezi mitatu kuanzia leo mwezi wa nane, bila hivyo tutaitisha maandamano ya kisheria nchi zima kuwashinikiza watoke au sisi tujitoe kwenye lichama lao.
Simiyu tuna mkakati wa kuanzisha chama letu.
Yes we canTuuangane kuporomosha