Ata mimi niliomba nimekula za uso bila sababu hata sijui walikuwa wanangalia kama ni mzee sana au vigezo vimetumikaKuna tangazo la nafasi za ukatibu cwt wilaya,mmetoa majina ya walimu walioomba nafasi hizo kwa usaili tarehe 11th Novemba.
Kuna walioomba ambao majina yao hayapo kwenye hiyo list yenu.
Kuna mchujo ulifanyika kwenye ngazi ya wilaya/Mkoa?
Msaada katibu cwt Taifa.
Umesema vema kabisa,hiyo option ya kujitoa ndio suluhu pekee kuondokana na adha ya chama ambacho hakitendi haki kwa wanachama wakeHicho chama tumeshaskia kikilalamikiwa mara kadhaa na wanachama wake! Hakina msaada tena hata walimu wakandamizwe vipi! Ni bora kama tartibu zinaruhusu wanachama kujitoa, nashauri walimu jitoeni muache kupoteza michango yenu bure!
Huna kadi ya CCM wewe kaa pembeni.Kuna tangazo la nafasi za ukatibu cwt wilaya,mmetoa majina ya walimu walioomba nafasi hizo kwa usaili tarehe 11th Novemba.
Kuna walioomba ambao majina yao hayapo kwenye hiyo list yenu.
Kuna mchujo ulifanyika kwenye ngazi ya wilaya/Mkoa?
Msaada katibu cwt Taifa.
Hukuona only short listed will be contacted? Sisi hatutaki interview ifanyike uwanja wa Mkapa, nafasi zenyewe chacheeeKuna tangazo la nafasi za ukatibu cwt wilaya,mmetoa majina ya walimu walioomba nafasi hizo kwa usaili tarehe 11th Novemba.
Kuna walioomba ambao majina yao hayapo kwenye hiyo list yenu.
Kuna mchujo ulifanyika kwenye ngazi ya wilaya/Mkoa?
Msaada katibu cwt Taifa.
Hao wa wilayani wameweka kapuni maombi ya walimu wao wakajijazia alama za juu wenyewe.Haiwezekani M/kiti wa wilaya na mweka hazina ndio waonekane wanasifa wawe shortlisted.na walimu wengine wapungukiwe sifa.Mimi ni mmojawapo wa waliojitokeza kuomba. Utaratibu uliokuwepo ni kwamba unapeleka barua kwa katibu wa wilaya. Kuna form maalum za kuangalia vigezo na unapewa alama(marks) mfano uliwahi kuwa mwakilishi wa tawi au kiongozi wa wilaya unapewa alama, una diploma, digrii au cheti unapewa alama. Baadaye form hizo zinachambuliwa kuonyesha waliopata alama za juu. Zinapelekwa mkoani zote(waliopata alama za juu na za chini). Mkoani nao wanazipitia kuangalia kwanini huyu amepata alama za juu au za chini. Nao wanafanya mchakato huo huo. Kisha zinapelekwa Taifani na katibu wa mkoa. Kule kuna watu wanaitwa KUT (kamati ya utendaji ya taifa) ndio wanaofanya short listing na baadaye interview. Ukipenya hapo unakula shavu.
NB:
Mfumo huu unawabeba zaidi viongozi kuliko walimu wa kawaida. Hii ni kwasababu wanapata alama nyingi zaidi kuliko blackboard teacher. Huu ndio uelewa wangu. Naomba kuwasilisha.