iPad ya Apple
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 322
- 126
CWT ya TZ!!!?ha ha ha ha ha ha
Tuweni Great Thinkers Pls!
CWT ya Uganda? ndio mdudu gani?...wewe una matatizo
CWT ya Uganda? ndio mdudu gani?...wewe una matatizo
Ndio maana kuna fungua na funga semi kwenye neno CWT, "CWT" ukiona hivyo Hilo neon usilibebe
kama lilivyo mbulula wewe, Kenya na Uganda nao wanavyama vyao, so try to learn by Assossiation.
Bila Shaka wewe Tatizo ni "NECTA 2012"
CWT is adopting the so called HALF STRIKE!!!! na kwa hivo kufanikiwa si rahisi!!!!!!
I say YES! To praise a fool.Acha kutumia akili za madawa ya kulevya wewe! umeshindwa kuandika kichwa cha habari! Kenya hukijui chama cha walimu kinaitwaje? na Uganda je?Masogange arudishwe remand kwa hili anaua vijana!
I say YES! To praise a fool.
Hahaha mkuu vipi kuhusu "JWTZ" ya Kenya imeshindwa kuwatoa Vijana 15 wa Al-Shabab?....... ni Mwehu tu anaweza kukubali upuuzi wako
cwt,ni kifupi cha maneno yafuatayo (chama cha walimu tanzania) sasa unamaana gani kusema cwt ya kenya na uganda,haileti maana kaka kubali kukosolewa
Una ongea nini wewe?cwt,ni kifupi cha maneno yafuatayo (chama cha walimu tanzania) sasa unamaana gani kusema cwt ya kenya na uganda,haileti maana kaka kubali kukosolewa
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kuliko hata wa Nape, pole sna.
kuwa na elimu ni pamoja na Kuwa n uwezo wa kun'gamua mambo.
ndio maana fasihi inafundishwa shuleni na vyuoni. Avoid using Dictionary meaning! and let you
never take anything for granted. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya hapa Duniani.
My, Take.
Jaribu kutumia Akili zaidi badala ya Nguvu.