Cwt

Cwt

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
2,258
Reaction score
275
Hela ya mizigo kwa walimu wapya mmepewa nyie au nani? Maana halmashauri nyingi wanasema waraka umebadiliswa hizo fedha hazipo tena! Nyie hamjatoa tamko lolote! CWT ongeeni hata kwenye midia tutawasikia. Kweli walimu wapya wanateseka.
 
Back
Top Bottom