MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Apr 23, 2012 #1 Hela ya mizigo kwa walimu wapya mmepewa nyie au nani? Maana halmashauri nyingi wanasema waraka umebadiliswa hizo fedha hazipo tena! Nyie hamjatoa tamko lolote! CWT ongeeni hata kwenye midia tutawasikia. Kweli walimu wapya wanateseka.
Hela ya mizigo kwa walimu wapya mmepewa nyie au nani? Maana halmashauri nyingi wanasema waraka umebadiliswa hizo fedha hazipo tena! Nyie hamjatoa tamko lolote! CWT ongeeni hata kwenye midia tutawasikia. Kweli walimu wapya wanateseka.