cwt

cwt

mwela

Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
47
Reaction score
7
Yuko wapi G.Mukoba iko wapi CWT inamaana wanasubiri siku za kufunga shule zikaribie watangaze mgomo? walimu wa kitanzania watazidi kukandamizwa n kunyonywa tusipoamua kwa dhati kudai haki yetu.Ni nini kimefanyika kwenye madai yetu hadi leo tuko kazini? inamaana madai yetu yalikuwa ni propaganda na kejeli za wanasiasa na viongozi tulizopata na zinazoenezwa hadi leo? Sina imani na CWT wala sina imani na Mukoba.Adui wa mwalimu ni walimu.sambaza kwa walimu wengine.
 
Back
Top Bottom