Cx 5 Kluger au Dualis, ushauri

Cx 5 Kluger au Dualis, ushauri

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wadau naomba kufahamishwa ipi nzuri na reliable kati ya gari hizo tajwa yaani kluger mazda cx 5 au nissan dualis
IMG_6433.jpg
 
CX5 ina sporty feel na ni reliable tu na itakupa raha zaidi kuendesha. Kuna reviews wanadai model za nyuma ya 2015 za petrol ni reliable zaidi ya diesel. Kwa bongo spare itakuwa gharama kidogo
Kluger ni reliable, mafundi ni wengi ila kwenye kuendesha itakuwa ni kawaida tu, sio tamu kama cx-5
Kati ya hizi tatu nisingeshauri Dualis, I believe itakuwa less reliable of the bunch
 
CX 5 iko vizuri na Dualis. Kluger nzuri pia ila mimi binafsi hanivutii sijaua kwann ila naona sio gari ya swaga nzuri ingawa nasikia ni imara.

Ila hiyo CX 5 ni ujipange babu mpunga wake si mchezo. Sijui ila bajeti yako umejiandaaje.

Maana hizi gari zote ni kisu kikali. Especially CX 5 na Dualis.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dualis ina CVT transmission.

Kwangu iyo tu ni NO.

Labda hauko informed tu, gari nyingi sana siku hizi zinatumia CVT, especially Subaru zote, toyota nyingi tu kama vanguard etc. point yangu ni kwamba ni hili ni suala la ilivyokuwa engineered kwenye specific models kama hizo za nissan. Na sidhani kama Dualis ina transmission yenye shoda. CVT ina kero zake lakini ni smooth sana kuendesha kwa natumizi ya kila siku (ya safari fupi fupi) na zinakupa ufanisi zaidi kwenye mafuta.
 
Subaru gani ziko na CVT mbona zinabugia sana mafuta?
 
Chukua cx 5 njnayo hii gari cjawahi kuijutia hata kidogo ....tena ukipata dizel ni bonge la gari jmetuliq sana haijui milima fuel consuption ya kibabe SANA
Basi nikiona za diesel naogopa... inakupa wastani wa kms ngapi kwa lita?
 
Cx 5 ndo gari kwanza ni modern gari la kwanza imetoka 2012
Ifuel nasikia ni kunusa
Petrol ndo recommandable hasa za chini ya 2015
Spea zake zipo za kutosha
Dualis na Cx5 ni sawa na mbingu na ardhi
Duh mkuu huyo kwenye avatar ni wewe?
 
Subaru gani ziko na CVT mbona zinabugia sana mafuta?

Subaru impreza, forester, legacy. Nadhani za Turbo ndo zinakula mafuta ambayo ni kawaida kwa magari ya turbo ukiacha haya ya miaka ya hivi karibuni
 
Back
Top Bottom