CVT mbona ni the best ukiniuliza mimi zinasaidia sana kwenye performance ya mjini na hata safari.Dualis ina CVT transmission.
Kwangu iyo tu ni NO.
CVT transmission ndio habari ya duniani kwa sasa, matunzo na service baas.Dualis ina CVT transmission.
Kwangu iyo tu ni NO.
Dualis ina CVT transmission.
Kwangu iyo tu ni NO.
Chukua cx 5 njnayo hii gari cjawahi kuijutia hata kidogo ....tena ukipata dizel ni bonge la gari jmetuliq sana haijui milima fuel consuption ya kibabe SANAHabari wadau naomba kufahamishwa ipi nzuri na reliable kati ya gari hizo tajwa yaani kluger mazda cx 5 au nissan dualisView attachment 2344714
Ndo ujipange mfukoni CIF USD 7000Assanteni wadau kwa ushauri naona niende na CX 5 kutokana na maoni mengi ya wadau
Subaru gani ziko na CVT mbona zinabugia sana mafuta?Labda hauko informed tu, gari nyingi sana siku hizi zinatumia CVT, especially Subaru zote, toyota nyingi tu kama vanguard etc. point yangu ni kwamba ni hili ni suala la ilivyokuwa engineered kwenye specific models kama hizo za nissan. Na sidhani kama Dualis ina transmission yenye shoda. CVT ina kero zake lakini ni smooth sana kuendesha kwa natumizi ya kila siku (ya safari fupi fupi) na zinakupa ufanisi zaidi kwenye mafuta.
Basi nikiona za diesel naogopa... inakupa wastani wa kms ngapi kwa lita?Chukua cx 5 njnayo hii gari cjawahi kuijutia hata kidogo ....tena ukipata dizel ni bonge la gari jmetuliq sana haijui milima fuel consuption ya kibabe SANA
Duh mkuu huyo kwenye avatar ni wewe?Cx 5 ndo gari kwanza ni modern gari la kwanza imetoka 2012
Ifuel nasikia ni kunusa
Petrol ndo recommandable hasa za chini ya 2015
Spea zake zipo za kutosha
Dualis na Cx5 ni sawa na mbingu na ardhi
Subaru gani ziko na CVT mbona zinabugia sana mafuta?
18 kwa lita 1 cjawahi kujutiaBasi nikiona za diesel naogopa... inakupa wastani wa kms ngapi kwa lita?
Duh town trip? Na nikitaka kuleta bongo bei gani?18 kwa lita 1 cjawahi kujutia