Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unataka.cyanide au mercury???!!!
aTunaleta mzigo october, tani 18mil karibu. 0715386011
Muagizaji alikuwa mmoja tu toka mwanza. Kampuni yetu matella co. Ltd inajenga jengo maalum la kuhifadhia kabla mzigo kufika.
Cyanide ni sumu wewe since when wanatumia cyanide kuchimbia madini
Ndio maana nilimuuliza yale maswali
Inatumika wakuu na ni njia nzuri ya kupata dhahabu nyingi sana process yake ni kuozesha udongo wenye dhahabu then untrack dhahabu kwa kutumia kitu kinaitwa carbon!
Umeijkita kwenye kupata tu.
Madhara yake unayajua kwa watakaokutana nayo????
Cyanide inapatikana kirahisi sana pale Zimbabwe, na unaweza kuiingiza nchini hata kupitia mabasi ya Taqwa.
Naijua, nimeishuhudia ikishushwa pale uyole Mbeya, nimeshuhudia mtu wangu wa karibu kabisa akiiagiza mpaka ikafika. Cyanide imeingizwa kinyemela nchini zaidi ya mara 3 kutokea Zimbabwe, tena kwenye buti la bus.
Baadhi ya walioishusha wakibeba mithili ya sembe ya Azam...walibabuka papo hapo shingoni, na jamaa akawaambia tatizo mnashusha huku mmevua nguo na jua ni kali mmeona madhara yake?
Mkuu ukiangalia kwenye majadiliano hapo juu utaona jinsi ambavyo naomba wahusika wawe waangalifu jinsi ya kusafirisha, ktunza na kudispose! madhara yake nayajua sana, Huwezi kuwazuia watu wasitumie kisa kuna madhara! kinachotakiwa ni kuweka mitigation measures kiasi kwamba madhara yasitokee kwa yeyote anayehusika na mazingira kwa ujumla!
Ndo maana NEMC na Mkemia mkuu hawatoi vibali ovyo!