Cyanide

changman

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
229
Reaction score
90
Cyanide inayotumika katika uchimbaji madini inauzwa sh ngapi?
 
Madhara katika mwili wa mwanadamu iwapo itaingia mwioini unayajua????!!!!!

Na unataka.cyanide au mercury???!!!
 
Mkuu umeuliza kirahisi sana kama vile unaweza kwenda dukani ukapata! Hii ni chemical hatari kuliko chemical zote ambazo unazijua! uenda sio hatari kiivyo bali kiasi kidgo ukiweza kukivuta unavuta hapohapo!

Chemical hii huwezi kuinununa bila kutathiminiwa na vyombo husika hapa namaanisha TFDA na TBS! Wao pia ili waweze kuagiza bidhaa hii inabidi wawe na wakara anayetambuliwa na bodi ya cyanide duniani ambayo ipo Marekani!

Tahadhari kuna habari kuwa mikoa ya Mwanza kuna watu wameruhusiwa kuagiza bidhaa hii kinyume cha utaratibu! Tegemea siku moja itaundwa tume kuchunguza vifo vya ghafla!

Nia hayo tu ndugu!
 
Cyanide ni sumu wewe since when wanatumia cyanide kuchimbia madini
 
Nitapiga picha ya cyanide next week nitaweka hapa
 
Tunaleta mzigo october, tani 18mil karibu. 0715386011
a

Kuna mwagizaji mmoja tu nchi nzima anayetakiwa kuleta cyanadine nchi nzima hebu twambie wewe ni nani kama hujitambulishi utakuwa kanjanja!

Kuweni waangalifu msiigizwe mjini
 
Ndio hivyo just like I said nitaweka pic
 
Siku hizi watu hawatumii tena cyanide katika uchimbaji wa dhahabu. Siku hizi watu wengi wanatumia nitric acid. Nauza nitric acid sh 85000 lita 10
 
Nitric acid hiyo acid ni sumu kama cyanide,hivi hawa jamaa migodini wanavaa PPE?
 
Cyanide inapatikana kirahisi sana pale Zimbabwe, na unaweza kuiingiza nchini hata kupitia mabasi ya Taqwa.

Naijua, nimeishuhudia ikishushwa pale uyole Mbeya, nimeshuhudia mtu wangu wa karibu kabisa akiiagiza mpaka ikafika. Cyanide imeingizwa kinyemela nchini zaidi ya mara 3 kutokea Zimbabwe, tena kwenye buti la bus.

Baadhi ya walioishusha wakibeba mithili ya sembe ya Azam...walibabuka papo hapo shingoni, na jamaa akawaambia tatizo mnashusha huku mmevua nguo na jua ni kali mmeona madhara yake?
 
Muagizaji alikuwa mmoja tu toka mwanza. Kampuni yetu matella co. Ltd inajenga jengo maalum la kuhifadhia kabla mzigo kufika.

Ok mkuu tunawaomba mfanye kazi hii kwa uadilifu mkubwa maana kitu hii ni hatari sana! Kuanzia kusafirisha, kutunza na kwa waliokwisha tumia kudispose!
 
Hio kitu ni hatari na huwa inadhibitiwa dunia nzima. Inaweza kutengenezewa chemical bomb kama yaliowaua wale wa Syria. Ni kweli mabasi mengi yatokayo kongo,Zimbabwe,zambia nk yanaingiza vitu vingi vya hatari hapa nchini na vyombo husika vinaona! Tunangoja vifo vya hatari vitokee kisha tukimbilie kuunda tume ambazo siku zote hazipati solution!
 
Ndio maana nilimuuliza yale maswali

Inatumika wakuu na ni njia nzuri ya kupata dhahabu nyingi sana process yake ni kuozesha udongo wenye dhahabu then untrack dhahabu kwa kutumia kitu kinaitwa carbon!
 
Inatumika wakuu na ni njia nzuri ya kupata dhahabu nyingi sana process yake ni kuozesha udongo wenye dhahabu then untrack dhahabu kwa kutumia kitu kinaitwa carbon!

Umeijkita kwenye kupata tu.
Madhara yake unayajua kwa watakaokutana nayo????
 
Umeijkita kwenye kupata tu.
Madhara yake unayajua kwa watakaokutana nayo????

Mkuu ukiangalia kwenye majadiliano hapo juu utaona jinsi ambavyo naomba wahusika wawe waangalifu jinsi ya kusafirisha, ktunza na kudispose! madhara yake nayajua sana, Huwezi kuwazuia watu wasitumie kisa kuna madhara! kinachotakiwa ni kuweka mitigation measures kiasi kwamba madhara yasitokee kwa yeyote anayehusika na mazingira kwa ujumla!

Ndo maana NEMC na Mkemia mkuu hawatoi vibali ovyo!
 

Hiyo siyo cyanide mkuu!cyanide ni zaidi ya hatari!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Sawa mkuu kwa mtoa mada navyoiulizia kirahisi unadhani those measures can be edhered to???!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…