Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama hawa, ikiwemo taratibu za kufungua cyber crime case file na defamation claim kwenye vyombo vya sheria, naomba tupeane ushauri hapa ili kuwashikisha adabu watu wenye tabia hizi