Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Ndio ucelebrity huo, lazima ukubali haya yote mwaya. Cha umuhimu chagua mazuri ondoka nayo, mabaya yaache, fanya kazi kwa bidii, heshimu watu wote, mtangulize Mungu kwenye kila jambo utafanikiwa.
Kumbuka ukifanikiwa utasemwa na ukilost utasemwa pia, iwe kwa uzuri au ubaya. Get ready.
Mama i know what you are saying...but someother people just meant to hate it for no reason..i wouldn't dare kumsema mtu na qualification yake..siyo wote tutakuwa the same.
You are better off, go n ask Kikwete.
Cynthia may be reading this thread....
hope she ain't just a groupie guest to that video...
This?!...why did you have to reffer her as a groupie?..there was a better way to say it than Reffering her to as a groupie...
LOL!...That will be interesting,,Kikwete huyo huyo anayemalizwa na wanamchi wake?.
I said:
I did not say she is a groupie. And may I please and politely ask you not to put words into my mouth again. Thank you. Kama unataka kusema kuwa kwenye music videos wanamuziki huwa hawaaliki groupies then that is another matter open to its own discussion.
Since you seem to know well the meaning ya neno nililotumia na ndiyo maana nikajibu haraka inferences ambazo zingeweza kusabibwa na post ya Yebo Yebo, basi sina haja ya kuendelea kulumbana hapa on this matter. I could contact Cynthia in person and convey what i meant in my post.
Baadae.
-------------**--------------
Nyani Ngabu, over analyzing yangu baada ya comment ya kwanza had a purpose hommie.
I said:
I did not say she is a groupie. And may I please and politely ask you not to put words into my mouth again. Thank you. Kama unataka kusema kuwa kwenye music videos wanamuziki huwa hawaaliki groupies then that is another matter open to its own discussion.
Since you seem to know well the meaning ya neno nililotumia na ndiyo maana nikajibu haraka inferences ambazo zingeweza kusabibwa na post ya Yebo Yebo, basi sina haja ya kuendelea kulumbana hapa on this matter. I could contact Cynthia in person and convey what i meant in my post.
Baadae.
-------------**--------------
Nyani Ngabu, over analyzing yangu baada ya comment ya kwanza had a purpose hommie.
...yaonekana mwenzetu ana threshold fupi ya ku-stomach criticism na commentary ziendanazo na entertainment...
Halizwi kwa ubaya, ni kwa uzuri tu na yeye anakubali. Akiamua kulalamika kwamba watu wanahate sijui itakuwaje, ingawa ni kweli sometimes uzalendo unamshinda na yeye anaongea.
Kila la heri mwanangu.
I thought we were square on this....but you're still hung up on it, why man?
Lakini mama watu wana haki ya kusema anything kwa rais wao maana anawaongoza ila kwa mtu anayetafuta riziki yake why umseme?
may be ni katika kumjenga tu, sio kila mtu anayekosoa anatakia mabaya, ila ni vizuri kubalance. Kama mtu anacritisice, chukua kalamu na karasi andika hizo critics, halafu uzisome kabla hujalala na ulinganishe na mode yako ya utafutaji riziki. Ila natilia msisitizo tu kwamba siyo kila anayekucritisize anakutakia mabaya, na pia sio kila anayekufagilia anakutakia mema.
Basi usichomoe, uwe na ujasiri wa kukubali kwamba umetoa commentary ama criticism ambayo unataka watu waivumilie.
Out of the clear blue sky umekurupuka "natumaini huyu sio malaya wa watu maarufu"!
Unaombea asiwe groupie girl. Una wonder kama sio groupie girl. Well, ni nini kimekufanya udhanie anaweza kuwa, ama, u insinuate kwamba yeye tayari ni groupie girl ? Yani umerusha tu lidongo out of the blue.
I don't know where you wanna go with this. Either way, nakuomba uache. Definition ya groupie inaeleweka, kama unajambo jingine don't hesitate to bring it forth tutajadili. Am out.
I understand what you are saying but as far as criticizim for cynthia it's too much sijui ataandika mara ngapi kama mtu unamkosoa then kosoa that person one time atasikia then she will follow them and see where ajirekebishe..but its like everytime kuna anything about her lazima awe criticized on the same issues over and over..how is she going to balance that?...
Kwanza ni mzuri, kwa nini usijiamini? Pili anafanya kazi na kupata riziki iliyo halali (sijui), hamtegemei mtu, au sio. Kama ni hivyo, njia rahisi ya kubalance ni kuignore uongo and hatred na kuchukua ukweli and love. Focus on what you believe in for your success, don't forget to seek for advice.
Ni muhimu kukumbuka kuwa usichana ni kama maua, ni mapema kunyauka baada ya kubloom. Ni vizuri kujiandaa vyema na maisha baada ya usichana. Kumbuka mchuma janga hula na wa kwao.
Focus babe!