Hapa unamuonea Steve, kwa vile hiyo term ilikuwa ni tata huna haki ya kuchagua definition unayoitaka kwamba ndio alivyomaanisha yeye. Yeye kashaeleza alichomaanisha full stop
Loh! taratibu faza usije ukamsababishia akose usingiz bure.....
Steve, na wewe comeback yako inaweza ikawa ile vurumai ya Dokta Masau....(hey i'm just lookin' out for ya)..lol
---------------------------trus me ma soulja, can't and wont retaliate on any one's weakness. i lock horns.
Yeye ndio kachagua definition ya kutumia.
Na ndio hiyo hiyo namuuliza.
Kasema anaombea huyu msichana asiwe groupie = mshabiki. Why ?
What's wrong with kuwa mshabiki, kama humaanishi groupie = mwanamke mgawa umalaya kwa wasanii ?
Sasa anachomoa, anajua kaharibu. Moyoni anajutia alichokisema.
He is a friend of the close friend () and knows something we don't have to know.
Mama huo ni urafiki wa mbali sana...yaani ni friend of a friend frind duuh!...na kuwe na ukweli ndani yake?...what if i tell you i am a close friend and i don't approve that comment?..
Sasa, Mama, kama ni mambo yao binafsi, ni kwa nini alijileta kwenye kadamnasi kutuambia kwamba anaombea msichana huyu asiwe groupie ?
Sasa, Mama, kama ni mambo yao binafsi, ni kwa nini alijileta kwenye kadamnasi kutuambia kwamba anaombea msichana huyu asiwe groupie ?
This topic has been closed!....I am Kelly01 And i approve this msg...Kama hutaki come see me!
No Nyani Ngabu Nitakuwa Black Velvet today sipping coctail..you wanna join?.
Sure....utakuwa peke yako..?
I'll hit you up after I roll out of here...
NN, na wengine naomba nisichangie chochote kuhusu huyu mdada kwenye hii thread. Maana duh nimepata shock ya hali ya juu kuna baba wa rafiki yangu humu tunabishana naye kila siku.
kuna video kadhaa huyu dada yuko
Grillz-Nelly
I know you see it-Yung Joc
Rodeo-Juvenile
nimeshasahau nyingine.
Wewe nae acha kamba bana...yaani kweli kuna mdingi wa mshikaji wako mnabishana naye kuhusu Cynthia? I find that hard to believe....
.......Tomaso!