Cynthia Masasi kwenye video ya Ace Hood

Hivi wajaameni, ile tabia yake ya kuunganisha wadada wenzake na mijanaume "si rizq"/inayoliwa "tigo" na mijanaume mingine kaacha??

a.k.a Mike Jones.
Hivi Mike jone s wee kwa nini kila kukich anakuja na habari za uongo?...hivi unaniii jamani eeeeeeh
 
Wewe wasema!

Kuna waswahili wachache sana nimekutana nao ambao wanajua maana ya msemo "wewe wasema."

Soma English translation yeyote ya Biblia utaona, Yesu alipojibu "wewe wasema" maana yake ni "it is as you say."

Kwa hiyo, unless unakubali kwamba ndivyo ilivyo kama nilivyosema kwenye swali, basi utakuwa ume-misuse huo msemo wa Kiswahili.

Tazama enenda kwa amani na ukatangaze upendo na neema yake anaehubiriwa, na sio kuanzisha uchochezi na sokomoko.
 

Wewe wasema. Na ukae kwa amani. Last.
 


Mike Jones mimi nitabishana na wewe until i die...na wala sikubaliana na vigezo vyako wee inaelekea una chuki binafsi bwana aaah!...Hizo data zako hazi make sense kabisa...inamaana mimi aongea na wewe hapa basi najipendekeza?...kazi ni kazi bora mkono unakwenda kinywani as long as hakuombi chumvi au kula au pa kurara hana shida..
 
U-hiphop girl si kitu cha kujivunia wajameni..tutafute ela decent kwa njia ambayo haiaibishi taifa..

Kumbuka unapokuwa dunia ya 1, unakuwa balozi wa nchi yako..na taswira unayoijenga machoni pa watu ndo hiyohiyo watakayoijenga juu ya unakotoka..
 
U-hiphop girl si kitu cha kujivunia wajameni..tutafute ela decent kwa njia ambayo haiaibishi taifa..

Kumbuka unapokuwa dunia ya 1, unakuwa balozi wa nchi yako..na taswira unayoijenga machoni pa watu ndo hiyohiyo watakayoijenga juu ya unakotoka..

ndugu yetu watu tuna akili tofauti. Kuna watu wanaona maisha kama ya tyson, tupac na wengine wahuni wahuni ndio maisha. Ni vema kuwaachia watu uhuru wa kuchagua maisha wanayopenda. Kama mtu akimchagua Tyson kuwa role model wake, basi mwache afanye hivyo kwa uwezo wake wa kuona, kufikiri na kuadmire utakuwa umefika hapo. Huu ndio uzuri wa demokrasia ya preference.
 
Kelly01, upo dada...mboni umeadimika kama jasho la kuku? au ndio maji yalizidi unga?


Nipo Mike jones...si unajua msimu wa sikukuu umeanza and i have extended family so i have to start my xmass shopping now...and besides i was on safari...whats New m2wangu.
 
I doubted!...i dont think hata kama anajua kuna site inaitwa jamii forum,...well you never know!

Home of great thinker hapa waanika utupu kwenye kamera hawawezi kusoma yaliomo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…