Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Inaonekana ni hivyo. Niliwaona huko.Kumbe walihamia South Africa.
Walitesa sana mjini walipoingia. Lakini ni furaha kujua kuwa wameweza kusimama tena. Nina uhakika watajifunza kutokana na makosa ya awali.Inaonekana ni hivyo. Niliwaona huko.
Walitesa sana mjini walipoingia. Lakini ni furaha kujua kuwa wameweza kusimama tena. Nina uhakika watajifunza kutokana na makosa ya awali.
Kilichowafanya wawe deported kutoka USAWalikosea nini
Kilichowafanya wawe deported kutoka USA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waafrika tuna namna ya kipekee kabisa ya kujibu maswali!.. hata hivyo asante
Kama wamesimama ni vyema. Yule mdada mzuri hastahili shida kabisaNilimuona S.A couple weeks ago. Yuko vyema tu na anaonekana anaishi vizuri huko.
Ni mzuri kweli. Nafikiri she's comfortable there. Muonekano wake ulinijulisha hivyo. Amependeza.Kama wamesimama ni vyema. Yule mdada mzuri hastahili shida kabisa
Kama wamesimama ni vyema. Yule mdada mzuri hastahili shida kabisa
Bongo asingeweza kuishi maana walishaanza kumsimanga.Ni mzuri kweli. Nafikiri she's comfortable there. Muonekano wake ulinijulisha hivyo. Amependeza.
Ningekua mwanaume ningetafuta mke kama Cynthia [emoji23][emoji23]She is a beauty!