Cyprian musiba a.k.a mzee wa mwibara yuko wapi?

Cyprian musiba a.k.a mzee wa mwibara yuko wapi?

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
Wanajamvi ni siku nyingi sasa simuoni wala kumsikia mzee wa mwibara ktk anga za habari na michezo kwa ujumla. Ninapenda kujua huyu bwana yuko wapi.....?
 
Alikuwa ana reseat mitihani ya kidato cha nne na karibu mara mbili alikuwa akipata D flat.
Apumzike kwa amani huko aliko yule galasa wa magamba.
 
hHAHAH, MCHEKI SINZA ILE hoteli mpya kuelekea MTOGOLE, nilikuwa nae juzi pale tunacheki game la CH3L5ea na A8SENAL, BILA KUSAHU MANSIX.
 
Back
Top Bottom