M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Nov 4, 2011 #1 Wanajamvi ni siku nyingi sasa simuoni wala kumsikia mzee wa mwibara ktk anga za habari na michezo kwa ujumla. Ninapenda kujua huyu bwana yuko wapi.....?
Wanajamvi ni siku nyingi sasa simuoni wala kumsikia mzee wa mwibara ktk anga za habari na michezo kwa ujumla. Ninapenda kujua huyu bwana yuko wapi.....?
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Nov 4, 2011 #2 Naona unajifungulia thread kujitafuta! Kaz kwelkwel.
Mohamedi Mtoi R I P Joined Dec 11, 2010 Posts 3,321 Reaction score 6,330 Nov 4, 2011 #3 Alikuwa ana reseat mitihani ya kidato cha nne na karibu mara mbili alikuwa akipata D flat. Apumzike kwa amani huko aliko yule galasa wa magamba.
Alikuwa ana reseat mitihani ya kidato cha nne na karibu mara mbili alikuwa akipata D flat. Apumzike kwa amani huko aliko yule galasa wa magamba.
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 18,772 Reaction score 8,939 Nov 4, 2011 #4 hHAHAH, MCHEKI SINZA ILE hoteli mpya kuelekea MTOGOLE, nilikuwa nae juzi pale tunacheki game la CH3L5ea na A8SENAL, BILA KUSAHU MANSIX.
hHAHAH, MCHEKI SINZA ILE hoteli mpya kuelekea MTOGOLE, nilikuwa nae juzi pale tunacheki game la CH3L5ea na A8SENAL, BILA KUSAHU MANSIX.
L lunogelo Member Joined Oct 9, 2011 Posts 46 Reaction score 5 Nov 6, 2011 #5 Yupo fb ac yake inajina la MKULIMA WA KISASA