Mwanaharakati Cyprian Musiba amedai kuwa kuna watu wasiokuwa na nia njema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikalini, akiwataja kama "wahuni." Musiba ameongeza kuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amejitokeza kama mkosoaji ndani ya Serikali, akisisitiza kuwa si lazima wakosoaji wote watoke nje ya chama, kama vile CHADEMA, bali CCM wenyewe wanapaswa kukosoana na kurekebishana pale panapohitajika.
Kwa mujibu wa Musiba, Mpina anatekeleza majukumu yake kwa kufuata Ilani ya CCM, ambayo inaelekeza viongozi kuwajibika kwa wananchi na kukosoa pale penye mapungufu. Hii inamaanisha kwamba kukosoa serikali si jambo la vyama vya upinzani pekee, bali hata wanachama wa chama tawala wanayo haki ya kutoa maoni yao na kushauri njia bora zaidi za uendeshaji wa Serikali.

Tatizo la CCM ya kileo ni kuwa hawataki kabisa kukosolewa pale wanapofanya madudu.
Wanachotaka hawa viongozi wa CCM wa kileo ni kusifiwa tu Kwa kwenda mbele.
Hata kama mwanaccm mmoja atamuona mwanaccm mwenzake akiwaibia wananchi, mabilioni ya pesa, akae kimya kabisa bila kuthubutu angalau kukemea tuuu😳
Hii CCM ya leo ni tofauti sana na Ile ya Mwalimu Nyerere.
Kwa kuwa Kwenye CCM ya wakati ule watendaji wa serikali, ambao maeneo yao ya kazi yaliboronga, waliwajibika Kwa kujiuzulu.
Refer mfano unaoishi wa Ali Hassan Mwinyi, aliyejiuzuku miaka Ile ya 70, Kwa mauaji Yale yaliyotokea maeneo ya Shinyanga.
Sasa fanya comparison na nyakati hizi , ambapo Mzee Ali Kibao, ameshushwa Kwenye basi, mchana kweupe na kesho yake mwili wake ukakutwa ameuawa!
Hata hivyo katika serikali ya CCM ya sasa, Waziri wa Mambo ya ndani, Yusuph Masauni na IGP Camilius Wambura, wamegoma kabisa kujiuzulu na aliyewateua naye kagoma kabisa kuwatengua😳
Kukosoana ni jambo jema, lakini cha kushangaza wakati ule alipokuwa anakosolewa mwendazake kwa sera zake za ovyo ni huyu huyu Musiba aliyekuwa anaona wakosoaji walikuwa na nia ovu dhidi ya Magufuli.
Hana zaidi ya UNAFIKI