Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tuoneshe na lako basi uliloenda kuliongeza pale Muhimbili.Huyo ni zuzu fisi hana jipya.
Voice note ya Man#ra inaesema Musib@ alienda Uturuki kuongeza hips na makalio.
Wapi kasema yeye mchambuzi we Maamuma?Huyo alishashindwa uchambuzi wa michezo tokea zamani, hana tofauti na Ambokile. Hawaujui mpira zaidi ya uchawa tu
Wewe kenge kama humjui bora utulize shanga. Musiba alikuwa mtangazaj na mchambuzi kwenye vituo vya habari vya Magic FM na Channel ten kipindi hicho na kina dr. Leak na Manara.Wapi kasema yeye mchambuzi we Maamuma?
Sasa hapa kasema yeye ni mchambuzi mkuu?Wewe kenge kama humjui bora utulize shanga. Musiba alikuwa mtangazaj na mchambuzi kwenye vituo vya habari vya Magic FM na Channel ten kipindi hicho na kina dr. Leak na Manara.
Kwa hiyo Manara akisema wewe unaliwa kiboga tuamini?Huyo ni zuzu fisi hana jipya.
Voice note ya Man#ra inaesema Musib@ alienda Uturuki kuongeza hips na makalio.