Cyril Ramaphosa amkana tajiri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ila huyu jamaa analeta kizaza sana kwa baadhi ya viongozi wa Afrika haya yamemkuta sasa wa Afrika kusini
============
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hakujua kuwa alikuwa anakutana na tajiri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo, anayesakwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za utakatishaji fedha.

Your browser is not able to display this video.
 
Ramaphosa aache uhuni. Kakutana na Wicknell kwenye matukio kibao. Ushahidi wa picha mtandaoni ni wa kutosha. Ila huyu Chivayo ana siri gani na hawa wakuu? Yaani hizi Ikulu za East & Southern Africa anaingia kama sebuleni..!!
 
Akili zikiwa nyingi ndio unakuwa Huru mkuu!! Chivayo bigpopa mzee wa madeal!
 
Huku Malawi alipokelewa hadi ikulu na gutumbo gwake stupid
 
Ramaphosa aache uhuni. Kakutana na Wicknell kwenye matukio kibao. Ushahidi wa picha mtandaoni ni wa kutosha. Ila huyu Chivayo ana siri gani na hawa wakuu? Yaani hizi Ikulu za East & Southern Africa anaingia kama sebuleni..!!
Lakini uwezi kumkuta Morocco au Algeria kwa nchi wanaotambua nini maana ya kuwa kiongozi.
Yaani watu zaidi ya 500 wameuwawa ila IGP yupo kazini na Rais anasema watu waendelee kupigwa bakora.

Useless people
 
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hakujua kuwa alikuwa anakutana na tajiri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo, anayesakwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za utakatishaji fedha.
 
Wicknell Chivayo And Lulu Muteke Dead After Marondera Helicopter Crash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…