CZAR Kikwete

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
CZAR inamaanisha cheo cha KIFALME kwa lugha ya Russia. Kama mjuavyo mfalme hurithisha nasaba yake waendelee kutawala na mtoto wa mfalme ni possible future ruler wa nchi kwania atamrithi baba au mama yake atakapoondoka.
Mwanae aitwaye Ridhwani yupo nafasi nyeti ktk utawala wa CCM, Mkewe ni mulemule na sasa mwanae wa miaka kumi na moja ameshaingia uwanjani kwenye kilinge cha baba na familia. Walikuwa wapi kabla baba hajaingia ktk usukani mkubwa? Kwa nini sasa? kwanini isiwe kabla ya zama hizi?
Hiki ndicho JK anachokijenga sasa yaani himaya ya KITAWALA. Nilidhani yeye ni mwadilifu hivyo angewakemea nasaba yake wasitumie mgongo wa umaarufu au nafasi yake kuingia madarakani. Hii haina tofauti na rushwa ya kinasaba yaani kikabila.

Unaionaje hii Move ya muungwana?
 


Mwanaye yupi huyo?
Mbona umri ni mdogo sana kua kwenye siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…