D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Nashukuru kwa 'input' maridhawa.. Ndio maana hata kwenye heading nikaandika "tukio lililogeuka hadithi ya 'alfu lela ulela'" kwasababu wako wengine hawaamini kama tukio la ufanisi kama hili linaweza kufanyika!

Nashukuru mkuu naona umeingia mpaka kwenye archives za FBI kudodosa zaidi.. Baadhi hawaamini lakini "wezi wa daraja la kwanza" wapo sana duniani
 
Mkuu asante kwa comment mwanana lakini next time epuka kuquote uzi wote unaleta usumbufu mkubwa kwa wanaotumia simu.. Zingatia hilo tafadhali
 
We jamaa kama vp fungua thread yako ya mambo ya aerodynamics. Kama umeelewa sana kausha. Unaboa kinoma!
 
huenda huyu D.B COOPER alikuwa ni miongoni mwa watu hao wa FBI,, kwanini hakuweza kutumia hata noti moja ya fedha alizopewa?? je alijua kuwa zilishapigwa picha na akizitumia ataingia kwenye mtego wa kukamatwa?? hivyo huenda akawa ni miongoni mwa hao FBI au pia huenda akawa ni mtu ambaye alikuwa na ushirikiano na miongoni mwa mtu wa hao FBI
 
Huu babu kubwa sana, hii ni movie tosha
 
Mkuu The bold naona gazeti la Mtanzania wamerusha hii story pia.
FBI inaposalimu amri kwa mtekaji aliyewachezea shere
Walivyotiririka nayo kama wamecopy humu vile

Hiyo ya Mtanzania hata siyo tamu, ipo kama wameiandika kwa msaada wa google.
Gazeti la Mtanzania nahisi wameiona humu stori wakaikopi ila kwakuwa ni gazeti wasionekane wamekopi wamebadilisha mtiririko kiduchu..

Anyaways, hili suala la kutumia 'fake ID' huu JF mda mwingine lina faida sana ila mda mwingine inakula kwako..
Juzi katika kwenye group flani hivi huko whatsapp Admin akatuambia members aisee msikose jioni nawaletea bongeeee la stori! Sasa ndo kufika jioni members wote wako attention, la haulaaa admin akaanza kudondosha stori ya D.B Cooper, yani ameikopi yote humu alafu anaidondosha kwenye group vipande vipande, nikajikausha kimya nione maoni ya watu!! Daaaahh admin akajizolea maujiko balaa yani.. ila karoho kaliuma kidogo!!

Sasa kubwa kuliko jumatano tuko washkaji kadhaa tulikuwa classmates huko sekondari tumekutana kama watu saba hivi tumekaa somewhere tunabadilishana mawazo na kupeana 'michongo'! Sasa vile stori zinanoga kuna jamaa akaanza kusimulia stori ya D. B Cooper!! Aisee mshkaji alijizolea maujiko pale alafu kulikuwa na watoto wazuri khaaaa mpaka nikatamani nipayuke "jamani mimi ndio The Bold mwenyewe" haahahahahhahah..

But nikasikia vizuri sana sababu nikagundua kumbe hizi stori zetu tunazozijadili humu zinatrend sana huko "duniani"..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi kutokana na habari za humu jf siku hizi wananiita CIA
 
We jamaa kama vp fungua thread yako ya mambo ya aerodynamics. Kama umeelewa sana kausha. Unaboa kinoma!

Kumbe ni wengi wanakereka na Huyu jamaa. Mimi nime-ignore comments zake na wala sikumjibu. We should not dignify his comments with any response. Anapenda kufanya generalization sana..kuona wengi wetu ni "wale wale"....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…