D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Mimi mwenyewe watu wananiita cooper kitaa kisa hii stori yako...hahaaaaa watu tunaogelea kufuata mkondo wa maji....asante sana brother
 
Kumbe ni wengi wanakereka na Huyu jamaa. Mimi nime-ignore comments zake na wala sikumjibu. We should not dignify his comments with any response. Anapenda kufanya generalization sana..kuona wengi wetu ni "wale wale"....
Umenena vyema kabisa mkuu..
 
Dah! Mkuu umenikumbusha mbali hii stori. I firstly read it mwaka 2004. Nashukuru kwa kuleta tena. Umesaidia kutupa updates kwa tuliowahi kuisoma. Nachokumbuka wadau tulijaribu kuja na nadharia zetu. Wapo waliomhusisha D.B. Cooper na "kiumbe tengenezwa" just to cater for the designated special hijacking mission. Sasa wapo walioiweka hii mission ktk mrengo wa uhalifu, na wapo walioiweka ktk mrengo wa majaribio maalum..
 
Jamaa kawazidi akili pale aliporuhusu ndege iruke huku imetoa matairi kama inataka kutua haya mambo ni akili ndogo tu mbona.
Yaani mkuu unahitimisha kwa maneno mawili alichofanya DB Cooper na baada ya FBI kuja na intensive investigation kwa miaka kadhaa ?
Katika hali ya kawaida hao jamaa wa FBI walishindwa kuwaza kama wewe ?

Kweli Tanzania tumebarikiwa na mashushu wenye akili kubwa kama wewe [emoji4]

The Bold Hongera
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu tusichukuliane poa mi mwenyewe nipo vizuri. Huo ndio ukweli hata hao FBI wanajua alitokatoka vipi ugumu unakuja namna ya kumpata tu. Ila nilichokiwaza naamini ndicho alichokifanya.
 
Hapo kwenye majaribio ndipo nilipo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu tusichukuliane poa mi mwenyewe nipo vizuri. Huo ndio ukweli hata hao FBI wanajua alitokatoka vipi ugumu unakuja namna ya kumpata tu. Ila nilichokiwaza naamini ndicho alichokifanya.
Sijakuchukulia poa mkuu ndio maana nikasema Tanzania imebarikiwa kuwa na mashushu wenye akili kubwa kama wewe [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kumbe ni wengi wanakereka na Huyu jamaa. Mimi nime-ignore comments zake na wala sikumjibu. We should not dignify his comments with any response. Anapenda kufanya generalization sana..kuona wengi wetu ni "wale wale"....
Yaani hujanifikia..mleta mada sio Mungu kuwa awe 100% correct. Yeye anafanya kudonoadonoa tu. Unajua ana tabia za kikekike ilhali anaonekana ni mwanaume? Sidhani kama back bench kuko salama
 
Duh Mkuu ni tag kwa kila story unayorusha coz hii imenitoa nje ya box la ufahamu
 
Mmmmh!! hawa jamaa wameacha kweli kumtafuta? au wamefanya hivyo kama mbinu ya kiintelijensia yaani SURFACE CONFESSING INTELIGENCE ili kumtafuta kimya kimya yaani kwa kutumia ACTIVE SILENT INTELLIGENCE WITH UNKNOWN RESEARCH TEAM. Na huyo Mr.copper akiamini kuwa wameacha kumtafuta bhasi atakuwa ameshindwa tayari kiintelijensia na watamkamata tu. SECURITY INTELLIGENCE IS A SCIENCE.
 
Yaani hujanifikia..mleta mada sio Mungu kuwa awe 100% correct. Yeye anafanya kudonoadonoa tu. Unajua ana tabia za kikekike ilhali anaonekana ni mwanaume? Sidhani kama back bench kuko salama
Hahahaha inatosha mkuu kajifunza
 
i am just thinking

mkuu The bold kwa maana hakuna ushahidi kamili na wa kuaminika ya kuwa D.B. Cooper aliruka chini kwa parachuti, inawezekana pia Cooper alichukua parachuti mbili mbovu/ za mafunzo na kuacha zile mbili zenye ubora wa kurukia kisha akajificha humo humo ndani ya hiyo ndege ya abiria kwa njia za kijasusi, ila alifanya activation ya kifaa cha mlango wa nyuma wa ndege ili kuwaaminisha/kuwadanganya marubani kuwa aliufungua mlango wa ndege na kuruka na parachuti mbili mbovu kisha akafa, ilhali yumo humo humo ndani ya ndege, ila baada ya ndege kutua chini specialist wakamuondoa kitaalam zaidi kwa kutumia begi aidha kama vile ni mzigo wa abiria ama mbinu nyingine za kitaalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…