D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

wewe jamaa umewaza mbali sana kaka, given kwamba miaka ya 1970s ndio kulikuwa na peak ya cold war kati ya america na U.S.S.R ilikuwa ni vema ku-reform mifumo ya usafiri wa anga kwa ushawishi wa namna hii
 



i'm just thinking
mkuu The bold kuna uwezekano D.B Cooper aliingia na kutoroshwa katika hiyo ndege ya kijeshi F-106 iliyokuwa ikiruka kwa chini baada ya yeye kufungua mlango wa chini wa ndege iliyotekwa, ila akaamua kutoroka na parachuti mbili ili awadanganye wapelelezi (misleading the fact) kuwa aliruka na parachuti?
 
Umenifanya nianze kuwaza tena Mkuu!
 
Sasa kule porini pesa zilifikaje?
 
Sasa kule porini pesa zilifikaje?
wakuu gwankaja na The bold inawezekana labda alizirusha zile pesa za ransom ila yeye binafsi hakuruka kutoka kwenye ndege kwa lengo lile lile la kuwapotosha wapelelezi wa serikali kuamini kuwa aliruka ilhali yeye alibaki mulemule. mkuu, kumbuka kuwa watu wote waliosalia kwenye ndege walifungiwa katika chumba cha rubani hivyo hakuna ushahidi wa mtu aliyeona ya kwamba huyu jasusi aliruka kutokea angani
 
Divine..., glory to yhwh, Nifah, BansenBurner, Alisen, Papushikashi, Magazine Fire, miss chagga, succinate coA hydrogenase, SANCTUS ANACLETUS, mngony, Excel, Mussolin5, Jimena, Inferiority Complex, gwijimimi, wambura marwa, Hoshea, Shareef Conscious,
Thnx alot ngoja nisome sasa cz nilipotea Jf
 
Aisee ukileta nyingine nitag tena

Hizo akili zikifika huku kwetu polis watachoka mapema sana

Mungu atulinde hivi hivi kila siku
 
Aisee! Unachokisema kinawezekana kabisa mkuu, hii ishu naamini kila kitu kinachoonekana dhahiri alikifanya hivyo ili luwaondoa kwenye mstari lakini alichokifanya kimejificha sana.. Nadharia yako hii nadhani ni moja ya possibilities..
 
Kabisa mkuu inawezekana! Alafu kitu kingine ambacho sikukiongelea kwenye stori kwasababu sikuona umuhimu wa kukizungumzia ila baada ya kusoma post yako hii ndio imenifanya nione significance; ni kwamba pia pamoja na ndege hizi mbili za F-106 pia kulikuwa na ndege nyingine ya kivita aina ya Lockheed T-33 ambayo ilikuwa inarushwa kwenye mission tofauti ambayo haihusiani na tukio la siku hiyo la akina Cooper iliacha kutekeleza mission yake na ikaungana na ndege hizi nyingine zile mbili za kivita kuifuatilia ndege ya akina Cooper kwa nyuma lakini ndege hii iliishia katikati ya safari karibu na mpaka wa jimbo la Oregon na California ikageuza kwa kisingizio cha kuishiwa mafuta...

LABDA mchezo ulichezwa hapo pia..
 
Nilikuwa naitafuta kweli comment yako maana nimekutag mpaka kuweka vinukta vitatu mwishoni nilikumbuka hahahahahah!

Bila shaka niatakutag tena next tym..
Ah ah ah ah uhii yaan nilipotea JF kwa muda

Sasa nikawa natafuta jina lako. Nilivyo lipata nikasema hapa hapa napekua story mpya.

Usinisahau aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…