D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Mkuu hapo FBI walibidi waje JF watampata.....
Divine..., glory to yhwh, Nifah, BansenBurner, Alisen, Papushikashi, Magazine Fire, miss chagga, succinate coA hydrogenase, SANCTUS ANACLETUS, mngony, Excel, Mussolin5, Jimena, Inferiority Complex, gwijimimi, wambura marwa, Hoshea, Shareef Conscious,
 
Mbona chapisho lako na la yericko yamefanana kila kitu umedesa kwake??
Well, nilichoelewa ni kwamba Yericko Nyerere ameshare hii stori ya Cooper kutoka humu kwenye mtandao mwingine au ameikuta huko watu wanaijadili.. Ndio maana ameandika "Nafurahi kusambaa kwa taarifa"
Ndicho nilichoelewa..

Anyways, hii post imesambaa sana hata huko whatsapp so ukiikuta usishangae, but kumbuka writer ni The Bold
 
Kwa mjibu wa yericho yeye ndio aliiandika, mwaka 2015
 
Nifuraha kusambaa kwa maarifa... View attachment 394868

Bold kubali ww ndo ulichukua kwa yericko kwa sababu ya yericko ipo toka last year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…