D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Kwanini awakuwashirikisha wahudumu hasa muhudumu aliyempa kikaratasi
 
This thread has been read over 69,500 times. Habibu B. Anga(The Bold) salute to you comrade.
 
Habari wanajamii forum
Nakumbuka kuna mwana jamii forum humu aliwahi kuleta habari ya D B COPPER na mwisho iliisha kwamba FBI walifunga jalada la kesi yake yake baada ya kushindwa kumpata.....Vipi kuna habari yoyote mpya kumuhusu huyu jamaa aidha evidence zingine zilizopatikana na mambo mengine kuhusu D B COPPER? Karibuni
 
ngoja niwacheki FBI kwanza
 
hii kitu imenyooka vema sana.....ila upelelezi unahitaji gharama sana....na ndio maana nchi changa huwa zinaishia jujuu...
 
Big up brother kweli jf. Home of great thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…