D-Day: 6 June 1944 The Normandy Landings....

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,777
Vita kuu ya pili ya dunia. Ujerumani ya Hitler ikiwa imezipiga na kuzikalia nchi nyingi za Ulaya ikiwemo Ufaransa ilivamiwa na UK na US na nchi washirika (zikiwemo Canada, Uholanzi, New Zealand na Rhodesia - Zimbabwe ya sasa).

Majeshi ya washirika yalitua ufuko wa Normandy Ufaransa baada ya kampeni ya udanganyifu iliyofanywa na Waingereza kuwaaminisha Wajerumani kuwa uvamizi ungefanyika kupitia fuko za Calais. Siku hiyo ya uvamizi hali ya hewa ilikuwa mbaya kiasi kwamba Wajerumani waliamini isingewezekana uvamizi kufanyika siku hiyo (Erwin Rommel kamanda wa vikosi vya Ujerumani kwa kuamini hilo alirudi nyumbani kumpelekea mkewe viatu ikiwa ni zawadi yake ya kuadhimisha miaka 50 tangu siku yake ya kuzaliwa na alipewa habari ya kuanza uvamizi akiwa Ujerumani).

Ccm; someni hapa kwa makini ili mjue "thamani" ya kuwafanya watu wamuogope sana mtawala.

Wakati uvamizi umeanza Normandy (kumbuka Wajerumani walitegemea uvamizi ungefanywa tokea Calais - na nguvu zao kubwa walizielekeza huko) Hitler alikuwa amelala. HAKUNA mtu aliekuwa na ujasiri wa kumuamsha. Hitler nae alikuwa "hapangiwi" kitu na mtu; hivyo HAKUNA kamanda yeyote aliethubutu kuongeza nguvu Normandy bila ruhusa ya Hitler. By the time Hitler anaamka mambo yalishaharibika, Normandy ilishatekwa na ikawa ndio mwanzo wa mwisho wa Hitler miezi 11 baadae.
 
hapo kwenye "ccm someni..." pako very logical. nimepapenda sana.
 
Haya maneno yanamwangwi mkubwa sana "HAKUNA mtu aliekuwa na ujasiri wa kumuamsha. Hitler nae alikuwa "hapangiwi" kitu na mtu; hivyo HAKUNA kamanda yeyote aliethubutu kuongeza nguvu Normandy bila ruhusa ya Hitler."
 
Bahati mbaya wahusika hawaelewi au wanajifanya kutoelewa ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom